Ajilipua ndani ya msikiti Saudia,,,soma hapa
Mlipuaji wa kujitolea muhanga
amejilipua ndani ya msikiti wa madhehebu ya Shia katika mkoa wa
mashariki wa taifa la Saudi Arabia na kusababisha madhara makubwa.
Kulingana na vyombo vya habari nchini humo.Mtu mmoja aliyeshuhudia alikiambia chombo cha habari cha Reuters kwamba kulikuwa na mlipuko mkubwa katika msikiti wa Imam Ali katika kijiji cha al-Qadeeh.
Amekadiria kwamba kuna majeruhi 30 katika shambulizi hilo ambapo zaidi ya watu 150 walidaiwa kusali ndani ya msikiti huo.
Post a Comment