Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

MAUAJI YA KUTISHA!!! SIRI NZITO YA MAMA YAPELEKEA HAYA

kwa wale wenye mijiroho mibaya wata pita bila kucomment ;I .R.P
Kwa wale wenye Mijiroho mbaya watapita bila ku comment neno "R.I.P"
Lakini kumbuka sisi wote ni marehemu watarajiwa,na kila mtu lazima atakufa tena kwa style yake,Huyu dogo amekatwa shindo hadi kufa na baba yake mzazi,baada ya kuwa na ugomvi na mke wake yani mama yake na huyu chalii.
mama wa mtoto baada ya kuwa na hasira aliamua kumwambia ukweli kuhusu mtoto huyu.Alimweleza kuwa mtoto huyo si wake na kwmba mimba haikuwa yake.Kwa hasira baba akaamua kumchinja hadi kufa.
Tafadhal usipite bila kuandika R.I.P

MAJAMBAZI WALIOVAMIA KITUO CHA STAKISHARI NA KUPORA SILAHA 16 WAKAMATWA



Majambazi wakamatwa hii leo mchana Tazara wakikimbia baada ya kupora fedha Milioni zaidi ya 25 katika kituo cha mafuta cha Lake Oil ambazo zilikuwa katika moja ya magari yaliyoingia kujaza mafuta kituoni hapo. Katika gari la Polisi ni watuhumiwa hao wa ujambazi Taarifa zaidi. 

 Huyu ni muuza CD ambaye alikuwa katika gari dogo aina ya Toyota Pick Up na mara majambazi walipoivamia yeye aliruka na kuanza kutimua mbio na Polisi kudhani ni jambazi linakimbia hivyo kuanza kumfukuzia na kumkamatia Uwanja wa mpira jirani na soko la Vetenari.


 Mmoja wa watuhumiwa akivuja damu huku mwenzake akiwa amelala chini
 

SITAKI KUKUACHA, ANGALIA VIDEO HII




Christy Sims ni mwanadada ambaye maisha yake yalibadilika ghafla baada ya aliekuwa mpenzi wake wa muda mrefu kumuachia majeraha ambayo hatokuja kuyasahau maishani.
Akiwa na miaka 40 Christy amelazimika kuishi na makovu baada ya kumwagiwa tindikali  na ex-boyfriend wake kwa sababu tu ya wivu wa mapenzi, kumhisi kuwa anatembea na mtu mwengine.
Haya yote yalitokea weekend moja ya mwaka 2013 nyumbani kwa mpenzi wake ambaye aliamua kumwagia dada huyu tindikali usoni, kifuani na mikononi kitendo kilichosukumwa na hasira kali za wivu.
Christy alipiga kelele nyingi na kuomba msaada lakini boyfriend wake aliamua kumuacha aungue mpaka watu wa huduma ya kwanza walipofika na kushangazwa kwa nini boyfriend huyo hakuchukua hatua za  kumpatia girllfriend wake huduma ya kwanza.
Christy Sims sasa hivi analazimika kuvaa miwani ya jua kila muda kulinda macho yake yasipigwe na jua la kumuumiza.

MOJA YA CHUMBA KATIKA HOTEL KIPO JUU YA MLIMA, UNAJUA THAMANI YAKE? INGIA HAPA

overhead-view-hotel
Mwonekano wa juu ya chumba, kwa chini unaona mto, mashamba na barabara kwa mbalii..
Wako watu ambao kupanda jengo la ghorofa moja tu ni tatizo, unadhani atakubali kirahisi kabisa kulala hapa juujuu?
cliff-hotel
Labda ukiwa hapo utaenjoy zaidi kuona mazingira poa ya nje, Milima iliyozunguka, mto na nyumba za watu.. lakini swali ni hili moja; utakuwa na amani hata ya kupata usingizi?
Karibu sana ndani ya Peru mtu wangu, hiki ni chumba cha Hoteli ya Natural Vive, vyumba viko vingi juu ya Mlima kwenye urefu kama wa futi 400 hivi toka chini, ukilipia Dola yako 1,000 ambayo ni kama Tshs. Milioni 2 zinatosha kukabidhiwa funguo ya chumba chako na utaenjoy siku nzima kuwa hapo juu.

Hapa ni mwonekano wa ndani ya chumba.
scary-see-through-suspended-pod-hotel-peru-sacred-valley-81

UNAFAHAMU MAANA YA TATOO? ZIJUE LEO HAPAHAPA KWA KUBOFYA


messi-jesus-tat
Kuna baadhi ya watu wanaamini Tattoo ni moja kati ya njia za utunzaji kumbukumbu za matukio muhimu mwilini..na wakati mwingine hata kupamba mwili kwa mchoro  wowote anaovutiwa nao mtu.
Hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa kwa mastaa wa kitanzania kuchora tattoo mwilini mwao na wengine wengi kutoka katika tasnia tofautitofauti.
Leo nimekuletea picha za mastaa nane wa soka duniani waliochora tattoo na maana zake
David Beckham 
Huyu anatajwa kuwa ni miongoni mwa wachezaji soka wenye mvuto duniani na mmoja kati ya sifa zake na uwezo wake wa kipekee uwanjani ni kuwa na uwezo wa kupiga mipira iliyokufa (faulo) na kufunga moja kwa moja, naye pia ni miongoni mwa mastaa wenye michoro mwilini tattoo na ikiwa na maana tofauti tofauti…..Tattoo za Beckham kuna zinazowakilisha mafanikio mbalimbali aliyoyapata katika soka,michoro ya watoto wake na mahusiano yake ya kimapenzi na mke wake Victoria Beckham.

Zlatan Ibrahimovic
Ni raia wa Sweden, na anapendwa sana nchini kwake kutokana na uwezo wake mkubwa wa kusakata kabumbu kuna kipindi ziliwahi kuzuka tetesi kuwa kuna watu wanaopendekeza picha yake iwe katika hela ya nchi hiyo (krona) lakini sheria ikawa hairuhusu. Ni mkorofi lakini ni moja kati ya mastaa wanaopenda  kuchora michoro mwilini(tattoo) ana mchoro wa Red Dragon mgongoni kwake, Japanese Koi fish na “Only God Can Judge Me” ubavuni mwake.



Neymer da Silva Santos Junior
Ni nyota wa kibrazil ana chenga za maudhi lakini ni moja kati ya wale mastaa wanaotumia mwili wao kama Diary kwa kuchora kumbukumbu kwa michoro ya tattoo mwilini, ana tattoo nyingi zenye misemo tofauti ya kireno zinazo mkumbusha furaha yake wakati yuko mdogo, mchoro kama heshima kwa mtoto wake lakini pia ameandika majina ya dada zake mwilini.



Dani Alves
Huyu ni beki asiye na maneno mengi hivyo licha ya kutunza kumbukumbu kwa michoro ya tattoo mwilini mwake, amekuwa akitumia mwili wake pia kutuma ujumbe kwa kuchora baadhi ya michoro mwilini mwake, ana mchoro  unaowakilisha imani yake ya kidini ya kikatoliki, ameandika jina la mwanae kifuani mwake, mchoro wenye ujumbe kwa familia yake, mchoro begani mwake wenye kumbukumbu ya mke wake wa zamani Dina.


Kevin-Prince Boateng
Huyu ni ndugu wa damu na Jerome Boateng ambaye anaichezea timu ya taifa ya Ujerumani huku Kevin akiichezea Ghana waliamua kugawanyika kwa mapenzi yao wenyewe, Kevin aliamua kuchezea taifa la baba yake Ghana na Jerome aliamua kuchezea taifa la mama yake Ujerumani. Licha ya kuzaliwa na kukulia Ujerumani Kevin ameonyesha mapenzi yake ya dhati kwa Afrika kama muafrika aliyezaliwa na kukulia Afrika kwa kuchora ramani ya Afrika katika mkono wake wa kulia na nchi yake ya Ghana ana mchoro pia wa klabu ya Ac Milan, mchoro wa Spider na kumbukumbu ya jeraha lake la goti.

Lionel Messi
Huyu huwa anatajwa kama Diego Maradona wa kizazi hiki hasa ukizingatia wanasifa zinazoshabiana kiuchezaji, kasi na wote wanatumia miguu ya kushoto…. Messi pia ana michoro mingi ya tattoo ila mmoja uliokuwa katika headlines sana ni pale alipochora viganja vya mikono na jina la mtoto wake Thiago kwenye mguu wake wa kushoto, lakini pia ana tattoo ya picha ya Yesu kwenye mkono wake wa kulia juu karibu na bega.





Marcelo da Silva Junior
Unakumbuka timu ya taifa ya Tanzania iliwahi kwenda kuweka kambi Brazil? basi zile hostel walizofikia Brazil aliwahi kuishi zamani beki wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil Marcelo ambaye inadaiwa aliwahi kukata tamaa ya kupata mafanikio katika soka na alitaka kuachana na soka kabla babu yake kumtia moyo na kumsii kutofanya hivyo. Marcelo ana michoro mingi ya tattoo kwa kuiona tu huwezi jua maana yake ila ana tattoo anayo ithamini kumbukumbu ya babu yake mtu ambaye angeweza kufanya Marcelo leo hii dunia isimtambue katika soka kama tu angeunga mkono kukata tamaa kwa Marcelo.



Thiery Henry
Ni mchezaji aliyetamba na Arsenal kwa takribani miaka tisa anatajwa kuwa mfungaji bora wa muda wote wa klabu hiyo… Ana tattoo nyingi tu hususani mikononi ila huwa hazionekani mara kwa mara kwa sababu ya tabia yake ya kupenda kuvaa jezi za mikono mirefu. Moja ya tattoo hizo ni ya picha ya binti yake Tea Henry aliyoichora kwenye mkono wake wa kushoto.



IMAUAJI YA KUTISHA! VITA HIVI HADI LINI? MGANGA AKUTWA NA VIUNGO HIVI VYA A.......

In Tanzania now days seems as  a life style or culture killing of Albinos especially when put their aim of need to be member of parliament or president,Most of them go to witch doctors to put effort for it.This is area where one of witch doctor doing his work, he as been found with body parts of two Albinos.    

TAZAMA AJALI MBAYA ILIVYOTOKEA KWENYE HII BARABARA

http://i2.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2015/07/barabara-1.jpg

UZEMBE WA DEREVA UMESABABISHA KUUWA WATU 92,INGIA HAPA


barabara 1Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.
Kwa Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara China Sichuan-Tibet ambayo inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo.

Kuna barabara nyingine ukitazama hii video hapa chini ya barabara kumi hatari duniani utaona pembeni kuna Makaburi na misalaba ya baadhi ya waliofariki kwenye ajali.

ILIKUWA MARA YANGU YA KWANZA KUKUTANA NA MWANAUME, NA HAYA NDIYO YALIYONIKUTA

Image result for girls crying photos
Ni mawanaume aliyekuwa nayo kubwa, akaisokomeza yote, nilihisi maumivu makali sana.Nikaanza kulia kwa uchungu, yule mwanaume alifurahia kwakuwa alinikuta nikiwa bikira,Mara nikaanza kuona damu zikinitoka, akaanza kunibembeleza pasi na mafanikio. hayo ndo yaliyonikuta.

WANAWAKE MSIJARIBU, HIVI NDIVYO NILIVYOTUNZA BIKIRA YANGU.


 Image result for GIRLS IMAGESImage result for GIRLS IMAGES
Ili kulinda hadhi na kuongeza imani kwa mume atakayenioa, niliamua kutumia mlango wa nyuma kwa wanaume ambao walikuwa wananipenda kabla sijaolewa. Lakini baada ya kuolewa siku moja nilijikuta natoa haja kubwapasi na kujielewa wakati nafanya tendo la ndoa na mume wangu. Ndipo hapo mume wangu akataka kujua kulikoni. Nikamweleza ukweli.
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top