Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

UZEMBE WA DEREVA UMESABABISHA KUUWA WATU 92,INGIA HAPA


barabara 1Kuna sehemu za hatari sana duniani ambazo unaambiwa ukifanya kosa moja tu unajiweka kwenye uwezekano mkubwa wa kupoteza maisha, hatari hii inapatikana kwenye barabara ambazo zipo kwenye sehemu mbalimbali duniani.
Kwa Tanzania kuna sehemu kama mlima Kitonga na Sekenke hizo ni baadhi tu ya sehemu tunazozijua ni hatari, huko kwenye nchi za wenzetu kuna barabara China Sichuan-Tibet ambayo inaua watu kila wakati mpaka takwimu zinaonyesha kwamba kati ya watu laki moja, watu elfu saba mia tano hupoteza maisha kwenye barabara hiyo.

Kuna barabara nyingine ukitazama hii video hapa chini ya barabara kumi hatari duniani utaona pembeni kuna Makaburi na misalaba ya baadhi ya waliofariki kwenye ajali.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top