EDWARD LOWASSA ATANGAZA NIA YA KUWANIA URAIS

Mtangaza
nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa
Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha , wakati wa kutangaza nia yake hiyo
ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania.Picha na Othman Michuzi

Mtangaza
nia ya kuwania Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye
pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwapungia mkono
maelfu ya wananchi waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa
Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha, wakati wa kutangaza nia yake hiyo
ya kuwania Urais wa awamu ya tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mbunge
wa Jimbo la Mwibara, Mh. Kangi Lugola akisalima umati wa watanzania
uliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri
Abeid,jijini Arusha, kumsikiliza Mtangaza nia ya kuwania Urais wa
Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge
wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa (kulia).

Mwenyekiti
wa CCM wa Mkoa wa Arusha, Ndg. Onesmo Ole Nangole akizungumza machache
kabla ya kumkaribisha Mtangaza nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa
tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la
Monduli, Mh. Edward Lowassa, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri
Abeid,jijini Arusha.

Mh. Lowassa akiwapungia wananchi.


Mtangaza
nia ya kuwania Urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi
(CCM), ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa
akihutubia katika mkutano wa hadhawa wa kutangaza nia yake
hiyo, kwenye Uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid,jijini Arusha.

Mh. Edward Lowassa
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Saturday, May 30, 2015
Post a Comment