Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

HOFU YATANDA BURUNDI,NKURUNZIZA ASHAURIWA ASIGOMBEE KWA AWAMU NYINGINE, KULIKONI???

Bujumbura, Burundi. Huku Serikali ikikanusha kuhusika katika mauaji ya kiongozi wa upinzani wa Burundi, baadhi ya makundi ya kisiasa yameanza kuingiwa na wasiwasi kuhusiana na hatima ya kisiasa ya nchi hiyo, wiki moja baada ya Rais Pierre Nkurunziza kusogeza mbele tarehe uchaguzi wa wabunge.
Kiongozi mwandamizi wa upinzani, Agathon Rwasa alisema kuwa hakuna taarifa rasmi kuhusu ni nani aliyetekeleza mauaji hayo ingawa alisema kuwa mwanasiasa huyo alikuwa mstari wa mbele kupinga mkakati wa  Rais Nkurunziza kuwania urais kwa muhula wa tatu.


author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top