Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

KAJALA:NAMPENDA SANA WEMA ILA BADO ANACHUKI NA MIMI, SOMA UJUE KUNANI?


Kajala: Nampenda Sana Wema Ila Bado Ana Chuki na Mimi

 Staa wa Bongo Movies, Kajala Masanja amesema hadhani kama ni rahisi kuwa karibu tena na staa mwenzake Wema Sepetu baada ya kugombana.


Kajala amekiambia kipindi cha The Sporah Show hivi karibuni kuwa bado anampenda Wema na kumheshimu.
“Mimi simchukii Wema, mimi nampenda Wema, kusema ningependa kurudisha urafiki na Wema inakuwa ngumu sana, kwa sababu yeye tayari anachuki na sijui ana chuki kiasi gani? Mimi nataka kusema ni mtu ambaye nampenda na nakaaga nasema namheshimu, ni mtu ambaye alinisaidia,” alisema Kajala.
Pia Kajala amekanusha kutembea na mpenzi wa zamani wa rafiki yake huyo hali iliyozua ugomvi baina yao na kusababisha mpaka sasa kutoelewana.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top