YALIYOJIRI BUNGENI DODOMA LEO, MBUNGE ATINGA NA BANGO KUWANIA NAFASI, AAMRIWA ASAULE
.jpg)
Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akiomba kura za kuwania nafasi ya
Mjumbe wa Tume ya Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma
leo Juni 11, 2014.
.jpg)
Mbunge wa Mwibara Mhe.Kange Lugola akivua bango alilokuwa ameva wakati
akiomba kura kwa wabunge za kuwania kuteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya
Utumishi Bungeni kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni11, 2014.
Aliamriwa kuvua bango hilo na Spika wa Bunge Anne Makinda. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Tuesday, May 19, 2015
Post a Comment