Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS: TAARIFA ZA MAGAIDI MOROGORO, PATA HABARI ZA KINA HAPA=>

Breaking

Kulikuwa na mfululizo wa uvamizi wa Vituo vya Polisi, watu wakapata hofu wengine walihusisha matukio hayo na ishu ya ugaidi baadae hali ikawa sawa.
Matukio hayajaisha, nimeipokea ripoti ya ITV kutoka Morogoro inayohusu watu watatu kufariki katika mapambano na Polisi, huku wawili kati yao wakihisiwa kuwa na uhusiano na kundi la kigaidi la Al Shabaab.
Breaking News nyingine kuhusu tukio hilihili iliyoripotiwa na Gazeti la Mwananchiinahusu watu sita kukamatwa na wengine 50 wanatafutwa, walikutwa wakiwa na sare za majeshi pamoja na silaha kama majambia kwenye msitu Mvomero.
Kwenye taarifa iliyofatia kutoka Mwananchi, imesema Mkulima Cassian Peter amefariki mchana wa June 27 2015 kwenye Hospitali ya Bwagala ambapo Polisi mmoja amelazwa na hii ni baada ya kujeruhiwa na hao watuhumiwa wa Ugaidi kabla hawajakamatwa.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top