Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WATOTO WAENDA KWA MGANGA JENGO LA GHOROFA 16 LISIBOMOLEWE DAR.!!


JENGO LA GHOROFA 16 KUBOMOLEWA JIJINI DAR.

HEKAHEKA ZANGU: JENGO la ghorofa 16 lililopo mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam linatarajiwa kubomolewa kwa kuwa linadaiwa kujengwa chini ya kuiwango.

 Amri hiyo imetolewa na  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadiki wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es SalaamUwepo wa jingo hilo ambalo limejengwa chini ya kiwango limezua hofu kubwa kwa wakazi wa eneo hilo,kwani jingo hilo lipo karibu na jingo jingine lililokuwa na ghorofa 16 ambalo lilianguka wakati ujenzi wa ghorofa hilo ukiendelea.
Hatua za ubomoaji jengo hilo zinaendelea wakati wakazi wa eneo hilo  wameombwa kuepuka na madhara yatakayojitokeza katika ubomoaji wa jingo hilo.
Kampuni ambayo imepewa dhamana ya ubomoaji wa Jengo hilo ni  kampuni ya  Kichina ya ERJE ambayo tunasubiri itekeleze wajibu wake katika kubomoa jingo hilo.Jengo la Ghorofa 16 ambalo linatakiwa kubomolewa lililopo katika mtaa wa Indira Ghadhi jijini Dar es Salaam.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top