Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

BREAKING NEWS: MGOMBEA MWENZA WA CCM HUYU HAPA…


zuri
Leo safari ya Tanzania kumpata Rais atakayewaongoza Watanzania kwa miaka 10 ijayo imeanza rasmi na CCM kupitia kwa Halmashauri kuu ya CCM imemchagua DK. John Magufuli kuwania nafasi hiyo.
Baada ya ushindi huo, Magufuli alitoa shukrani zake kwa wote waliofanikisha ushindi wake na kisha akamteua aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge la Katiba lililomalizika hivi karibuni Samia Sulum Suluhu kuwa mgombea mwenza.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top