Lilikuwa ni wazo la Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni, DC Paul Makonda kutafuta njia ya kuwafanya vijana ambao hawana ajira na wana vipaji, watumie vipaji hivyo kama ajira.
Wazo likapelekwa kwenye hatua za kufungua hiyo milango ya ajira kwa vijana, ikaletwa Kinondoni Talent Search…
Wakapatikana washiriki, ukapita mchujo wa robo fainali.. na sasa hivi
nakuletea nilichokishuhudia kwenye hatua ya nusu fainali, Dar es Salaam
June 30 2015.
Post a Comment