Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

TATU (3) BORA KATIKA MCHUJO WA URAISI HAWA HAPA


update 2Ni mamilioni ya Watanzania wanasubiria kujua mchujo wa wanaowania Urais CCM umefikia wapi baada ya tano bora kutangazwa saa kadhaa zilizopita ambako wametajwa Bernard Membe, January Makamba, Asharose Migiro, John Magufuli na Amina Salum Ali.
Taarifa za tatu bora ikiwa ni hatua moja kabla ya kumpata wa kuipeperusha bendera ya CCM zimenifikia kwa kuthibitishwa na Twitter page ya CCM kulikoandikwa >>> ‘Mkutano wa NEC unapiga kura hivi sasa kupata Wagombea 3 bora, mkutano mkuu wa taifa utaanza saa tatu usiku
NEWS: BAADA YA SAA TATU
Waliopita ni
1. john pombe magufuli
2. asha rose migiro
3. amina salumu ally
ULIIMIS HOTUBA YA RAIS KIKWETE? BONYEZA HAPA CHINI KUIPATA…

author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top