Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

WEWE DUME UOLEWE NA ...............? CHINA HII!!!

628x471
Siku chache zilizopita tulishuhudia Marekani wakihalalisha ndoa za jinsia moja kwenye majimbo yote 50, lakini hali haiko hivyo Beijing huko China, ndoa za jinsia moja zinakatazwa kisheria licha ya watu wengi kupinga Sheria hiyo.
Stori ya leo kutoka China inawahusu wanawake wawili wanaoishi jijini BeijingLi Tingting na Teresa Xu waliyo onekana kuto kujali Sheria ya nchi inayokataza ndoa za jinsia moja na kuamua kufunga ndoa siku ya Alhamisi wiki iliyopita.
150703100558-beijing-lesbian-wedding-exlarge-169
Wakiwa wapenzi wa muda mrefu, wadada hao waliamua kufunga ndoa hiyo na kufanya sherehe kubwa iliohudhuriwa na zaidi ya watu 50 siku hiyo ya Alhamisi kwenye moja ya hoteli huko Beijing.
628x471 (1)
Wanandoa hao walisema walisukumwa kufanya maamuzi hayo kufuatia maamuzi yaliyotolewa na Marekani wakisema walihisi muda umefika kwa wao pia kufunga ndoa baada ya kuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi kwa muda mrefu.
0c5a8b61-3b16-4509-9f6d-7b12591a2b3f
>>> “tunajua sheria za nchi zinakataza, lakini kama Marekani wameweza kutambua kuwa hata kundi la watu kama sisi tunastahili kutambulika kisheria hatuoni sababu ya kwa nini watu waliopo huku wanyimwe haki hiyo, sheria haitutambui na huwo ni uwonevu. <<< Li Tingting.
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top