| Add caption |
ALLY KIBA AMZUNGUMZIA DIAMOND KUHUSU UFREEMASON,,,,,,
"Licha ya kuwa ni wapinzani katika music, maendeleo ya Diamond kwenye game ni kutokana na kujiunga na dini ya kimashetani (freemanson)" asema Ally Kiba. Duni ni imani ya mtu, na imani siku zote haidhihiriki mbele ya watu isipokuwa matendo yake, na matendo ya Diamond kubaini imani yake ni pale anapokuwa jukwaani huonekana.Fanyeni uchunguzi mutabaini haya niyasemayo.
"
Post a Comment