Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

LULU YAMUUMBUA PETE YA UCHUMBA, YAWA GUMZO KWA KILA SHABIKI WAKE.LULU ASIMULIA

PETE YA UCHUMBA YA LULU YAWA GUMZO

Mwandishi wetu
MSHTUKO! Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amezua gumzo ukumbini baada ya kuonekana akiwa amevaa pete iliyoaminika kuwa ni ya uchumba na kusababisha minong’ono miongoni mwa mashabiki wake. Mpango mzima ulijiri wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Sinema wa Mlimani City (Cinemax) kulipokuwa na uzinduzi wa sinema ya 10 Bora ya washiriki wa Shindano la Tanzania Movie Talent, mwaka jana ijulikanayo kama Mpango Mbaya. Punde tu baada ya Lulu kuwasili ukumbini hapo mishale ya saa mbili usiku akiwa na mashosti zake, minong’ono iliibukia kwenye zulia jekundu wakati mrembo huyo alipokuwa akifotolewa picha na mapaparazi ndipo wapenda ubuyu walipoanza kusambaziana habari hali iliyosababisha watu wengi kutaka kumuona Lulu. “Ile ni…
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top