Featured

    Featured Posts

    Social Icons

Loading...

Utatamani kuiona gari ya kifahari iliyotengenezwa ndani ya Afrika? Nina Pichaz sita hapa.==>http://hekahekazangu.blogspot.ca


150629164316_kantanka_640x360_bbc_nocredit
Ukipita barabarani ni kawaida kukutana na majina ya magari yaliyozoeleka kama Toyota, BMW, Benz, Suzuki, Honda… Hayo yote ni magari ambayo viwanda vyake viko nje ya Africa.
Lakini ninayo good news kwamba huenda tukakutana na brand za magari yanayozalishwa hapahapa Afrika na ni magari ya kifahari kabisa ambayo unaweza kufananisha na Benz na BMW!
Gari hii imetengenezwa Ghana, inaitwa Kantanka 4×4.. pichaz zake kuanzia inavyoanza kutengenezwa mpaka ilivyokamilika ziko hapa.
150629164416_kantanka_640x360_bbc_nocredit
150629164510_kantanka_640x360_bbc_nocredit
150629164138_kantanka_640x360_bbc_nocredit
http://hekahekazangu.blogspot.ca
_83931119_83931118
Kan
Bei ya hii gari ni kama Pound 14,000 (Ukiileta kwenye Tshs. ni Milioni 43)
author

This post was written by: Author Name

Your description comes here!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

CodeNirvana
© Copyright Heka Heka Zangu
Back To Top