WEMA AONESHA MAHABA NIUE LIVE
HEKAHEKA ZANGU LIVE! The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema
Isaac Sepetu ‘Madam’ amejikuta akionesha mahaba niue kwa ‘kujibebisha’
kwa Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’ 2014 kutoka nchini
Namibia, Luis Manana huku akimmwagia sifa nyingi na kudai ndiye laazizi
wa moyo wake kwa sasa baada ya kuachana na mwanamuziki Nasibu Abdul
‘Diamond’. The Big Boss wa Kampuni ya Endless Fame Productions, Wema
Isaac Sepetu ‘Madam’ akiwa na Mshiriki wa Big Brother Africa ‘Hotshots’
2014 kutoka nchini Namibia.
Post a Comment