Maziwa yalianza kuvimba wakati ndege ipo angani, akionikani cha ardhi wala majengo. Ndege ilipokuwa inaendelea kupaa nilihisi maumivu makali sana kwenye maziwa, ilipozidi kwenda juu zaidi ndipo nikaona yanaanza kuvimba. Kadri ilivyozidi kupaa ndivyo maziwa yalizidi kuvimba.Nikaomba msaada kwa daktari aliyepo katika ile ndege. Akaniambia nimfuate na kunilaza katika chumba maalumu ambacho huwezi kuhisi mtikisiko wala myumbo wa ndege.
This post was written by: Author Name
Your description comes here!
Get Free Email Updates to your Inbox!
on Thursday, July 16, 2015
Post a Comment