Rais Barack Obama wa Marekani anasema angeishangaa Nchi ya Tanzania kama ingempitisha Edwrd Lowasa kuwa mgombea wa Urais Tanzania. Anasema kuwa kwa jinsi kashfa ya Richmond ilivyomchafua ingekuwa ajabu kwa nchi masikini kama Tanzania ingempatia Lowasa kuiongoza.
Sakata la Richmond limemfanya Lowasa awe tajiri hadi akaita mabilioni ya pesa VIJISENTI.
Post a Comment